Mandawa na Manenge,kwa wale wa enzi zile tu.

Hahahahahah ,umenikumbusha mbali,kuna viatu viliitwa Losso,yaani ukivaa unaonekana wa kishua
Ha ha ha ha ha

Daaah Losso,Wezi walikuwa wakivaa usiku ili wakitembea vishindo visisikike.

Mimi na suruali yangu ya Michael Jackson ni hatari.
 
Na Mkanda wa kipepeo
Kuna kipindi dada zangu walikuwa wanasoma boarding secondary,mimi nilikuwa mdogo,acha tu walilazimisha wanunuliwe Losso na kuna lotion kubwa kabisa kopo kubwa la pink nimeisahau jina jina kama linaanzia na Z.
 
Back
Top Bottom