mopaozi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,301
- 520
Aisee hivi hawa jamaa wakizichapa nani ataibuka kidedea maana wAlishikana mashati kukunjana na fergie alishakunja ngumi kukosa wale wAtu wa security tungeshuhudia na mechi ya bure.Mancini alimwambia Ferguson mshamba wewe na tumewafunga leo ndo jamaa akadata!!