Mancini na Sir Alex Ferguson wazichapa uwanjani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mancini na Sir Alex Ferguson wazichapa uwanjani

Discussion in 'Sports' started by mopaozi, May 1, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Aisee hivi hawa jamaa wakizichapa nani ataibuka kidedea maana wAlishikana mashati kukunjana na fergie alishakunja ngumi kukosa wale wAtu wa security tungeshuhudia na mechi ya bure.Mancini alimwambia Ferguson mshamba wewe na tumewafunga leo ndo jamaa akadata!!
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mimi nitaibuka kidedea!!
   
 3. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Ferguson ana frustration za unexpected results! He has to understand football is the game full of surprises!
   
 4. h

  handboy Senior Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Faga kachanganyikiwa jamani toka mechi ya everton
   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  He maneno waliyorushiana ni makali mancini anaoogopa kuya taja isije ikawa ms**/e wewe *u***ma wewe!!
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Ndo matatizo ya kubebwa na marefa hayo..hahaaaa
   
 7. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ahahaaaaaaa
   
 8. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Chezo wenyewe ukiwaambia hivyo wanakuwa wagomvi kama kocha wao! Subiri watakuja sasa hivi
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ferguson amesema mancini alimtusi ndo mana akamkunja na anadai kuwa angemshikisha adabu ashukuru walinzi!!source:S3
   
 10. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mkuu nani kabebwa? Acha u**e*n*e,kakojoe ukalale
   
 11. G

  Gagso Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanza badilisha kauli yako.kichwa cha hbr na maneno yako yapo tofauti.utawadanganya wale ambao hawajaangalia game?
   
 12. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,787
  Likes Received: 2,684
  Trophy Points: 280
  Kulikuwa na bango moja uwanjani likiwa na Picha Mancini akipiga kelele huku Fergie, Alex akiwa ameinama ameshika kichwani. Bango hilo lilisomeka hivi "Noisy Neigbhours are getting Louder Alex". Bango hili limenifurahisha sana hasa baada ya kuona varangati ya Alex akimuonyesha Mancini kuwa ni Mpiga Kelele.

  Ila kama Alex hatakuwa makini aisee hao majirani zake watavunja ngoma za masikio yake.
   
 13. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Amekurupuka ka amekalia kijiti,mwambie akajipange mkuu!
   
 14. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  United kama Al Ahly piga ua.
   
 15. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  I tried, I missed, but there is tomorrow out there nitawapiga 2 hao City! Hayo malumbano kati ya Alex Ferguson na Mancin ni upepo 2 utapita ila kipigo du... Nipeni pole mwenzenu.
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Haya wengine hatujaangalia hiyo mechi tupeni full results.
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Afadhali wamechapwa angalau mji utakuwa tulivu!!
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wapiga kelele wamemnyamazisha fergie mzee wa bahati na formula zisizokuwepo..

  kompany 1 - 0 united
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Bado wanyamazishwe na Simba weeked hii ili mji uwe tulivu zaidi maana hii mitimu inayovaa mijezi miyekundu ni timu zenye washabiki wenye kelele na karaha.
   
Loading...