Manchester Utd vs Manchester City, 25 March,2014 - Old Trafford

Manchester Utd vs Manchester City, 25 March,2014 - Old Trafford

Wachezaji wa United awana mbinu kabisa ya kuipita ngome ya City. Kisha inaonekana kama awana nguvu
 
nimeshuhudia goli la kwanza tu,mvua kubwa inanyesha satelire zimegoma ....mnaongalia endeleen kutupa updates...GGMU
 
Kama Bayern Munich akikamua kabisa...basi aggregate itakuwa 10-0.
 
Back
Top Bottom