Mtumishi jiandae na Ibada kesho ππMazee
Hivi nyie mna uhakika hii yenu ni timu ya mpira?ππ
Kama masihara hivi mwisho wa msimu united huyo championship
Ichukuliwe hatua madhubuti ya kuinusuru Klabu hii kubwa na aibu ya kushuka darajaWanasubiri nusu ya pili.
Oyaaaaa πππLeo ndio tunaanza ligi
I'm very optimistic, Nina level kubwa ya Imani na ushindi wa leo