Manchester United mnasubiri nini kumfukuza Ole?

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,520
17,426
Nakumbuka kabla msimu uliopita haujaanza nilibishana sana na mashabiki wa Man utd,chelsea na Arsenal!

Eti pale chelsea alikuwepo LamparAr Arsenal yupo Arteta na Man utd yupo OlNi Nikawaambia wamiliki wa hizi timu wamechanganyikiwa? Inakuaje Everton ina AncelotSp Spurs ina Mourinho na newcastle alikuwepo Benitez halafu wao wameajiri mameneja ambao hawajashinda chochotLa Labda wamelogwa!

Chelsea wakamtimua lampard !Tuchel kaja na Taji la Uefa!Man utd na Arsenal Bado viburi na timu zao zina matokeo ya hovyo!hazipo kwenye mbio zd ubingwa labda top four tena ya mashaka sana!

The Glazers na Kroenke's wamelogwa na nani hasa? Nani kawaambia watashinda mataji makubwa kwa vikocha kama hivwan

Wanaogopa nini hasa?Nauhakika kabisa man utd ya Ronaldo hata top four haitoingia kabisa wala Arsenal ya Arteta!!
Pole mashabiki wa man u na The gunners!

Maumivu yenu yatakuwa ya muda mrefu sana!!!
 
Acha utani, kwanza tuombe msamaha mashabiki wa Arsenal. Hauwezi kutufananisha na timu mbovu kama Nan United. Leo Arsenal anacheza dakika ya 92 saizi tupo mbele goli 1. Nikukumbushe tu msimamo.
1 Chelsea 26
2 Man city 23
3 liverpool 22
4 West ham 20
5 Arsenal 20.
Kwa Hesabu hiyo leo tunakuwa sawa na Man City.
Kwa hiyo kuizungumzia Arsenal kwa mazoea muache.
Man United walikuwa wanasubiri Arsenal awakute kwanza Man City point.
 
Mnakuaje sawa na Man City? au mnachezea point sita ndugu siyo tatu tena
 
Acha utani, kwanza tuombe msamaha mashabiki wa Arsenal. Hauwezi kutufananisha na timu mbovu kama Nan United. Leo Arsenal anacheza dakika ya 92 saizi tupo mbele goli 1. Nikukumbushe tu msimamo.
1 Chelsea 26
2 Man city 23
3 liverpool 22
4 West ham 20
5 Arsenal 20.
Kwa Hesabu hiyo leo tunakuwa sawa na Man City.
Kwa hiyo kuizungumzia Arsenal kwa mazoea muache.
Man United walikuwa wanasubiri Arsenal awakute kwanza Man City point.
Utakua kibogoyo (huna meno) sio bure.
 
Nakumbuka kabla msimu uliopita haujaanza nilibishana sana na mashabiki wa Man utd,chelsea na Arsenal!

Eti pale chelsea alikuwepo LamparAr Arsenal yupo Arteta na Man utd yupo OlNi Nikawaambia wamiliki wa hizi timu wamechanganyikiwa? Inakuaje Everton ina AncelotSp Spurs ina Mourinho na newcastle alikuwepo Benitez halafu wao wameajiri mameneja ambao hawajashinda chochotLa Labda wamelogwa!

Chelsea wakamtimua lampard !Tuchel kaja na Taji la Uefa!Man utd na Arsenal Bado viburi na timu zao zina matokeo ya hovyo!hazipo kwenye mbio zd ubingwa labda top four tena ya mashaka sana!

The Glazers na Kroenke's wamelogwa na nani hasa? Nani kawaambia watashinda mataji makubwa kwa vikocha kama hivwan

Wanaogopa nini hasa?Nauhakika kabisa man utd ya Ronaldo hata top four haitoingia kabisa wala Arsenal ya Arteta!!
Pole mashabiki wa man u na The gunners!

Maumivu yenu yatakuwa ya muda mrefu sana!!!
Huyu Ole masai aliyelowea Ulaya labda ana hisa Man U ndio maana wanasita kumtoa nduki
 
Back
Top Bottom