Bcz united are tha most succesful club in historu
Hivi ni kwanini Manchester united ikicheza na timu nyingine mashabiki wa Chelsea, liverpool, Arsenal na Manchester City wanaishambulia? Huu ni ushabiki wa mpira kweli au personal fanatic?
Kwasababu wanapendwa sana na waamuzi, wanawapa goli za offside,
wanapewa pernat za bure na uwongo
, wapinzani wao hata mchezaji wa man u adake kwenye 18 hapewi penart.
Wapinzani wanapigwa redcard bila makosa yanayotakiwa upewe hadhabu hyo.
Mpira wao hauna mvuto zaid ya marafu mengi na burudanii haipo zaidi ni kusubiri matokeo baada ya dakika 90,.
Ndio mana huwezi kuta mtu mwenye akili akashabikia man u
Haya ndo maneno ya mtu mwenye wivu!!! Haahaaa!ukweli kabisa....na wivu....kuna mijitu ina wivu sana na team yetu...but u know what WE DONT GIVE A SHY*
Kwasababu wanapendwa sana na waamuzi, wanawapa goli za offside,
wanapewa pernat za bure na uwongo
, wapinzani wao hata mchezaji wa man u adake kwenye 18 hapewi penart.
Wapinzani wanapigwa redcard bila makosa yanayotakiwa upewe hadhabu hyo.
Mpira wao hauna mvuto zaid ya marafu mengi na burudanii haipo zaidi ni kusubiri matokeo baada ya dakika 90,.
Ndio mana huwezi kuta mtu mwenye akili akashabikia man u
Kwasababu wanapendwa sana na waamuzi, wanawapa goli za offside,
wanapewa pernat za bure na uwongo
, wapinzani wao hata mchezaji wa man u adake kwenye 18 hapewi penart.
Wapinzani wanapigwa redcard bila makosa yanayotakiwa upewe hadhabu hyo.
Mpira wao hauna mvuto zaid ya marafu mengi na burudanii haipo zaidi ni kusubiri matokeo baada ya dakika 90,.
Ndio mana huwezi kuta mtu mwenye akili akashabikia man u
Kwasababu wanapendwa sana na waamuzi, wanawapa goli za offside,
wanapewa pernat za bure na uwongo
, wapinzani wao hata mchezaji wa man u adake kwenye 18 hapewi penart.
Wapinzani wanapigwa redcard bila makosa yanayotakiwa upewe hadhabu hyo.
Mpira wao hauna mvuto zaid ya marafu mengi na burudanii haipo zaidi ni kusubiri matokeo baada ya dakika 90,.
Ndio mana huwezi kuta mtu mwenye akili akashabikia man u
Mkuu umejitahidi kidoogo,sio waamuzi tu,Mau U inapendwa na chama cha FA,inapendwa na UEFA,inapendwa na makocha wengine karibu wote,inapendwa na queen,inapendwa na waziri mkuu wa uingereza pamoja na marais dunia nzima,inapendwa na wazee,wamama,watoto(hadi wachanga),tunamalizia na Mungu..kiujumla dunia nzima kasoro fans wa hizo timu mlizotaja hapo juu!!jiulize basi,kwann ipendwe na dunia nzima??jibu unalo
Mfano mzuri wa watu wanaoichukia Man Utd. Umefuka povu bila hata kuweka supporting facts.
Acha mawazo mgondo ww anamaana wote tunao shabikia man united hatuna akili?? Omba radhi kwa mashabiki wote wa united!!! Maana sijui umetumia nn kufikiri! Mechi dhidi ya Liverpool ilitoka kadi gani? Achakuongea vitu vya kitoto! Kwahio ww ndo unaakili sana!!anzisha na ww club yako tuone! !acha ushabiki wa kitotoKwasababu wanapendwa sana na waamuzi, wanawapa goli za offside,