Manchester city wataangamia vibaya mno leo

Manchester city wataangamia vibaya mno leo

Hahahahahah eti " wazee wa come back" daah manure fc hahah
 
Hawa jamaa kwa kushangaza mashabiki ni hatari
 
Kama hukujua wapi mo alifichwa utawezaje kujua yatakayo tokea huko ulaya?.
 
mtoa mada lazima ataomba mods huu uzi ufutwe kabla ya saa 6 usiku leo.
 
Man u imewachania mikeka watu wengi sana sku za karibuni wengi wamekuwa wakiiua af yenyewe inawaua sasa leo wabetiji wanapata tabu sana waiue au waipe.
 
Mtoa mada hebu njoo huku tuku amber Ruthy chap? Nyage ngege kwetu mwanza nyegezi!
 
Back
Top Bottom