Manara, Rais wa nchi akiongea hakatishwi

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
2,067
2,302
Aibu mbili zimejitokeza leo kwenye mchezo kati ya Yanga na Somalia.

Manara anamkatisha Rais wakati anaongea. Aibu sana.
Ueledi wa kazi hapo. Rais hakatishwi wakati anaongea. Labda asite na kuuliza jambo.

Aibu ya pili ni GSM kutoa milioni 10. GSM waandaaji mnatoa milioni 10? Aibu.
 
Na hiyo milion 10 kwani wameitoa au wametuletea bango lenye kudaiwa ni cheque?

Cheque kama hiyo iliwahi kutolewa na Mo lakini yanga walipinga kua ni uzushi
 
Dunia hadaa,ulimwengu shujaa

GSM
Manara
Senzo n.k

Wasikubabaishe.

Penda mpira, shabikia mpira Kama kiburudisho Cha moyo Kama vile ukipita sehemu Kuna jua Kali,ukafika karibu na duka la vinywaji

Halafu ukapewa Coca-Cola baridi from no where yaani ile big surprise kumbuka burudani utakayopata hapo si ya kawaida,ghafla

Muda huohuo unakutana na msichana mrembo anayekutamkia mwenyewe kuwa anakupenda

Kizuri zaidi anakwambia upo moyoni mwake siku nyingi ila aliogopa kukwambia,

Mwanaume unatabasamu unashindwa kujizuia,ila akili inakwambia usifanye hivo mbele ya binti acha kulegeza macho jikaze.

Uone kawaida,kabla hujasema chochote binti wa watu anakwambia yeye ni bikra .

Naam yaani hajawahi kukutana na mwanaume yoyote,unaangalia saa ya mkononi kwa kuzuga ,huku binti yeye akiangalia pembeni kwa aibu

Maana kashatuma kombora na linakaribia kutua Ukraine

Unajifanya una wahi sehemu,Kama unamuaga vile,binti anakwambia

"Samahani Kama nimekukosea maana nimeshindwa kujizuia "

kidume unatabasamu yaani unamjibu kuwa aondoe Shaka.mbona kawaida tu

Raha iliyoje,unasogea karibu na gari yako unaiegamia huku ukipiga simu isiyo eleweka unampigia Nani.

Huku ukitafakari maneno uliyoambiwa na binti ,una muita kwa ishara ya vidole kuvinyoosha na kuvikunja

Maana,kumbuka upo dukani Kuna watu wanaingia na kutoka halafu Kuna ile nishai au aibu yaani we mtu mzima uongee na under 18 mbele Za watu haiwezekani

Wakati binti anakusogelea anaangusha kipochi Chake kwa bahati mbaya au maksudi ile anageuka na kuinama kuokota alichoangusha

Mtu mzima mapigo ya moyo yanaongezeka maana vinu vya nyuklia anavyotamba navyo Putin unaviona live bila chenga

Wakati huo unajiuliza,

Je, siyo mtego huu?

Je,siyo mwanafunzi huyu?

Wakati huo furaha tupu yaani homa na viloja vyote vimekimbia .

Mara binti anakusogelea na kukugusa bega,

weeeeeee ndipo unapozinduka baada ya mkeo kukuamsha uwahi kazini huku ukiwa kijihasira kwa mbali maana ndoto zingine zimekaa kiwaki sana

Mpira ni burudani wakuu, we enjoy pasi za Khalid aucho,

Enjoy mipira ya beki Shomari kibwana

Furahia pasi za mwisho za mkongwe Saidoo na mitik tak ya Mayele

Utafurahia mpaka Basi,

Acha na GSM sijui Manara Mara Senzo Mara sijui Bumbuli we hao waone Kama magugu yanayojiotea yenyewe shambani

Wakati we umepanda vitu vyako

Alamski.
 
Aibu mbili zimejitokeza leo kwenye mchezo kati ya Yanga na Somalia.

Manara anamkatisha Rais wakati anaongea. Aibu sana.
Ueledi wa kazi hapo. Rais hakatishwi wakati anaongea. Labda asite na kuuliza jambo.

Aibu ya pili ni GSM kutoa millioni 10. GSM waandaaji mnatoa milioni 10? Aibu.
Tunaambiwa ni matajiri kweri kweriiiiii.

Nimehuzunika kwa kweli.

Waongeza hela hata 500million
 
Aibu mbili zimejitokeza leo kwenye mchezo kati ya Yanga na Somalia.

Manara anamkatisha Rais wakati anaongea. Aibu sana.
Ueledi wa kazi hapo. Rais hakatishwi wakati anaongea. Labda asite na kuuliza jambo.

Aibu ya pili ni GSM kutoa millioni 10. GSM waandaaji mnatoa milioni 10? Aibu.
Video iko wapi tuone tusioangalia
 
Aibu mbili zimejitokeza leo kwenye mchezo kati ya Yanga na Somalia.

Manara anamkatisha Rais wakati anaongea. Aibu sana.
Ueledi wa kazi hapo. Rais hakatishwi wakati anaongea. Labda asite na kuuliza jambo.

Aibu ya pili ni GSM kutoa millioni 10. GSM waandaaji mnatoa milioni 10? Aibu.
Manara popote aendapo anajifanya yeye ndo mmiliki wa kile chombo ama kampuni husika, Simba ilifanya vyema kumfukuza. Dogo hafai kabisa, akisemwa anasingizia tunamuonea kwa kuwa yeye ni albino. Yaani anapenda sana kutumia hiki kigezo cha kuonewa huruma.
 
Acha fujo, wenzenu wamefanya tukio kubwa la kukusanya pesa kwaajili ya hiyo foundation itakayo saidia na watoto wengine wenye shida kama hiyo. Nyinyi mnakusanya pesa mnazilipa kamati za uchawi, marefa na ujanja ujanja mwingine
 
Makolo yan manara kuongea na rais mmekasirika pia,imagine ile event ingeandaliwa na mikia hizo ambazo angepewa babra na chawa wake si za nchi hii!
 
Wivu unakusumbua tu akuna kingine, nyie makolo mmechangia ngapi kwenye charity? Bora yanga wamefanya jambo kubwa kuunga mkono iyo charity na sio kama makolo mnapeleka fungu kukodisha mapaka na waganga wa kienyeji, na leo jumapili mshapeleka fungu la kutosha kukodi waganga wa kienyeji kwenda kuloga uwanja msipate aibu kwa berkane, unapata wapi nguvu kuhoji mambo ya yanga wewe!
 
Haji ana connection sana,kama sio ule "ujana" wake anaouendekeza,"angeshawekwa "sehemu nzuri zaidi ya pale.
 
Aibu ya pili ... kutoa millioni 10. ... waandaaji mnatoa milioni 10? Aibu.
Mambo hayajaenda kama ilivyotazamiwa. Halafu unashangaa hizo 10M, kwani hukuona 2.1B za udhamini wa ligi kwa miaka miwili kwa timu 16, hata nazo pia hazikutolewa? 😂😂😂
 
Aibu mbili zimejitokeza leo kwenye mchezo kati ya Yanga na Somalia.

Manara anamkatisha Rais wakati anaongea. Aibu sana.
Ueledi wa kazi hapo. Rais hakatishwi wakati anaongea. Labda asite na kuuliza jambo.

Aibu ya pili ni GSM kutoa millioni 10. GSM waandaaji mnatoa milioni 10? Aibu.
Rais ni mtumishi wa wananchi kwanini asikatishwe na maboss zake?
 
Dunia hadaa,ulimwengu shujaa

GSM
Manara
Senzo n.k

Wasikubabaishe.

Penda mpira, shabikia mpira Kama kiburudisho Cha moyo Kama vile ukipita sehemu Kuna jua Kali,ukafika karibu na duka la vinywaji

Halafu ukapewa Coca-Cola baridi from no where yaani ile big surprise kumbuka burudani utakayopata hapo si ya kawaida,ghafla

Muda huohuo unakutana na msichana mrembo anayekutamkia mwenyewe kuwa anakupenda

Kizuri zaidi anakwambia upo moyoni mwake siku nyingi ila aliogopa kukwambia,

Mwanaume unatabasamu unashindwa kujizuia,ila akili inakwambia usifanye hivo mbele ya binti acha kulegeza macho jikaze.

Uone kawaida,kabla hujasema chochote binti wa watu anakwambia yeye ni bikra .

Naam yaani hajawahi kukutana na mwanaume yoyote,unaangalia saa ya mkononi kwa kuzuga ,huku binti yeye akiangalia pembeni kwa aibu

Maana kashatuma kombora na linakaribia kutua Ukraine

Unajifanya una wahi sehemu,Kama unamuaga vile,binti anakwambia

"Samahani Kama nimekukosea maana nimeshindwa kujizuia "

kidume unatabasamu yaani unamjibu kuwa aondoe Shaka.mbona kawaida tu

Raha iliyoje,unasogea karibu na gari yako unaiegamia huku ukipiga simu isiyo eleweka unampigia Nani.

Huku ukitafakari maneno uliyoambiwa na binti ,una muita kwa ishara ya vidole kuvinyoosha na kuvikunja

Maana,kumbuka upo dukani Kuna watu wanaingia na kutoka halafu Kuna ile nishai au aibu yaani we mtu mzima uongee na under 18 mbele Za watu haiwezekani

Wakati binti anakusogelea anaangusha kipochi Chake kwa bahati mbaya au maksudi ile anageuka na kuinama kuokota alichoangusha

Mtu mzima mapigo ya moyo yanaongezeka maana vinu vya nyuklia anavyotamba navyo Putin unaviona live bila chenga

Wakati huo unajiuliza,

Je, siyo mtego huu?

Je,siyo mwanafunzi huyu?

Wakati huo furaha tupu yaani homa na viloja vyote vimekimbia .

Mara binti anakusogelea na kukugusa bega,

weeeeeee ndipo unapozinduka baada ya mkeo kukuamsha uwahi kazini huku ukiwa kijihasira kwa mbali maana ndoto zingine zimekaa kiwaki sana

Mpira ni burudani wakuu, we enjoy pasi za Khalid aucho,

Enjoy mipira ya beki Shomari kibwana

Furahia pasi za mwisho za mkongwe Saidoo na mitik tak ya Mayele

Utafurahia mpaka Basi,

Acha na GSM sijui Manara Mara Senzo Mara sijui Bumbuli we hao waone Kama magugu yanayojiotea yenyewe shambani

Wakati we umepanda vitu vyako

Alamski.
Makala!!
 
Back
Top Bottom