Manara na Bumbuli wanacheza na saikolojia zetu!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,433
Wakuu,

Nimemsikia Haji Manara na Bumbuli leo kwa nyakati tofauti wakiwamwigia sifa wachezaji wetu kuwa ni bora sana na mziki wao si wa kitoto. Nimesoma facial expressions za hawa jamaa zetu ni dhahiri wanataka kufanya wachezaji na timu nzima wasipanie hii game.

Kama mmegundua maneno ya kuibeza Simba kutolewa na Orlando yamepungua na sasa wanataka kutujaza na sifa ili tubweteke kama tulivyo Waafrika na kupunguza hasira za wachezaji kulipa kisasi kupitia deby.

Hizi sifa zilituponza game nyingi za Yanga wachezaji wetu wakiingia kama Giant against underdog Yanga na kuishia kucheza kwa ari ndogo.

Wachezaji wetu kuwapokea vizuri baada ya game ya Orlando na sifa hizi zinazoibuka zisiwapumbaze. Hata kama tuna professional players lakini tabia za kiafrika zinafanana.
 
Simba wako vizuri sana...Yanga wanaingia kama underdog
Timu ambayo haijawahi kupoteza hata mechi moja,, ndo mwenyej wa mechi anaingiaje kama underdog.

Hii mechi Makolo ndo wanaenda kuteseka na moto wa Yanga.. Wananchi hawana Stress kabisa Timu Yao ni Bora mno.. huwezi kufananisha na Timu la wazee kama kolosfc
 
Wakuu,

Nimemsikia Haji Manara na Bumbuli leo kwa nyakati tofauti wakiwamwigia sifa wachezaji wetu kuwa ni bora sana na mziki wao si wa kitoto. Nimesoma facial expressions za hawa jamaa zetu ni dhahiri wanataka kufanya wachezaji na timu nzima wasipanie hii game.

Kama mmegundua maneno ya kuibeza Simba kutolewa na Orlando yamepungua na sasa wanataka kutujaza na sifa ili tubweteke kama tulivyo Waafrika na kupunguza hasira za wachezaji kulipa kisasi kupitia deby.

Hizi sifa zilituponza game nyingi za Yanga wachezaji wetu wakiingia kama Giant against underdog Yanga na kuishia kucheza kwa ari ndogo.

Wachezaji wetu kuwapokea vizuri baada ya game ya Orlando na sifa hizi zinazoibuka zisiwapumbaze. Hata kama tuna professional players lakini tabia za kiafrika zinafanana.
Wanajazwa waingie king
 
TFF tunaomba tu mdhibiti vitendo vya kichawi vya hawa ndugu zetu! Msipokuwa makini wanaweza kuingia hata na fisi uwanjani.
 
Back
Top Bottom