Manara: Kichapo Cha PSG alaumiwe Mangungu

Manara: Kichapo Cha PSG alaumiwe Mangungu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
"Kwa hiki kichapo cha jana cha PSG
wakulaumiwa ni Mangungu tu.
Kwa nini aliwauza Messi na Mbappe?
Huyu Ngungus ni wa kunyongwa tu".

Ameandika Msemaji wa zamani wa Vilabu vya Simba na Yanga Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram.

#scopboii #ScopeMedia
1752482328822.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hapo kawakebehi Simba kwa kumlaumu Mangungu kwa ishu ambazo sio zake code ndogo tu hiyo...
 
Back
Top Bottom