Clip ipo na yote aliyoandika hapo ni ya kweli, nimeiona twitter, alizungumza kabla hajaanza kuwadanganya wajinga jana kwamba Yanga ndio timu yenye vikombe vingi Tanzania, wakati yeye mwenyewe akiwa Simba SC alishakiri Simba ndio babalao.Weka hiyo clip tuione hapa
Clip imezagaa kwenye mitandao mingi mpaka youtube,insta n,kClip ipo na yote aliyoandika hapo ni ya kweli, nimeiona twitter, alizungumza kabla hajaanza kuwadanganya wajinga jana kwamba Yanga ndio timu yenye vikombe vingi Tanzania, wakati yeye mwenyewe akiwa Simba SC alishakiri Simba ndio babalao.
Manara ni tapeli tu kwa sasa anayeishi kijanja janja.
Au anafanya makusudi? Huyu manara atawagombanisha gsm na yanga ,halafu Sasa hivi wanafuatana na Bumbuli na yeye ndo anajifanya mkubwa kulikoClip yake ya kwanza kutamburishwa Yanga,alikua anasema wazi"tusiruhusu maswali tutaharibu story"bila kujua kama anarekodiwa video na voice.
😂😂😂😂Tapeli asiye Na ubunifu .Msukule lazima utaivuruga sana Yanga huu ni mwanzo, huyu Haji ana vimelea vya utapeli sanaView attachment 1930124
Kama ipo si ndio muiweke humu kwenye uzi. Inashindikana nini kuambatanisha kwenye huu uzi? Tuwekeeni hiyo clip tuione ambao hatukusikia au kuiiona.Clip imezagaa kwenye mitandao mingi mpaka youtube,insta n,k
Haji kafanya vile kwasababu yeye ni mkubwa kuliko Yanga,na gsm ndo wamemleta pale sio club ya Yanga.pesa ina nguvu kuliko utashi.
Bumbuli ni msemaji halisi wa Yanga,Haji ni wakala wa gsm Yanga ni kama njia tu.Au anafanya makusudi? Huyu manara atawagombanisha gsm na yanga ,halafu Sasa hivi wanafuatana na Bumbuli na yeye ndo anajifanya mkubwa kuliko
Nimejikuta tu nimecheka, halafu nikakumbuka uzi wa mwana Yanga mmoja aliyetoa nyongo kuhusu ubabaishaji wa waendeshaji wa timu yetu ya Yanga. Naona dalili ya moto kuwaka maana saivi moshi unafukuta ndani kwa ndani. Itokee tu matokeo mazuri uwanjani ndio dawa ya kufunika kombe. Ila endapo Yanga itakuwa na matokeo mabaya basi Manara atakuwa na wakati mgumu sana Yanga. Smt016 pitia huku Manara tayari kachafua hali ya hewa
GSM wameyataka wenyewe na bado
Clip ipo na yote aliyoandika hapo ni ya kweli, nimeiona twitter, alizungumza kabla hajaanza kuwadanganya wajinga jana kwamba Yanga ndio timu yenye vikombe vingi Tanzania, wakati yeye mwenyewe akiwa Simba SC alishakiri Simba ndio babalao.
Manara ni tapeli tu kwa sasa anayeishi kijanja janja.