Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,008
Huyu haji Manara ni full kutoa povuuuuu. Mara Ohhh mm mtoto wa mjini. Nitamwaga mboga.
Mara Oohhh Natural Justice. Sijasikilizwa. Lowassa hakusikilizwa leo siyo Waziri mkuu.
Dr. Mwale Malecela hakusikilizwa leo yupo UN. Wilson Kabwe hakusikilizwa leo ni marehemu.
Wewe ulipewa Muda wa siku 3 kuja kuhojiwa uka kaidi, ukajidai wa mjini. Jerry Muro alijidai ni wa mjini. Huyu alifukuzisha watu kazi tena mapolisi wakubwa na ni mropokaji kuliko wewe.
Hayo mapovu yako sijui ya Instagram.
Sikilizia maumivu kama NAPE.