Manabii wanaokwenda na wakati

TheMeek

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2016
Posts
460
Reaction score
400
1. Nabii Eubert Angel wa kanisa la Spirit Embassy, GoodNews Tv



Hapa akiwa na Ginn Wine (Mwanamziki)





Hapa akiwa na mke wake Bebe Angel



Hapa akiwa gym



Mke na watoto wake





















Wengine hawaapa....





 
Ni kweli anaenda na wakati kwelikweli: tazama bonge la saa ya kisasa alovaa!
 
Utitili now, ukifungua Facebook Naona kila siku wapya.. Duuh.. Wanakamua Sana pesa hasa wakina dada ndio wahanga wanawaamini na prophecy zao za uongo.. Shtuka we dada na kimbia... [emoji125] [emoji125] [emoji125], wanakuacha masikini. Rudia imani yako ya kwanza Mungu atakusaidia
 
kabanga;
Huyu ni nabii wa neno la Mungu na makao yake makuu ni Zimbabwe. Ila, ana ofisi nyingi pia hukooo majuuu. Wengi wamemkubali
Ndio huyu anaetangazwa Na clouds.....?
 
Anzisha na wewe mkuu huenda ukatoka kimaisha zaidi ya hao
Ndo nakamilisha taratibu mkuu na mm niazishe kanisa langu nahv jna langu Mohammed, ntajiita tu nabii mohamed alafu nkisema tu nilkuwa muislam bwana akaniotesha akaniambia ntoke huku nilko nkalitangaze jina lake. Daaah hiyo nyomi la kondoo n shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…