Manabii wa makanisa ya Dar

kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,981
3,626
Habarini za weekend wakuu? Kuna swali moja huwa najiuliza sipati majibu kuhusiana na manabii wanaotoa unabii kwenye makanisa ya kiroho hapa Dar. Nilipata kualikwa makanisa mawili ya kiroho hapa dar, na ibada zao ziko tofauti kabisa na nilivyozoea ktk ibada zangu kwenye kanisa naloabudu miaka yote. Swali nalotaka kuuliza hivi Nabii wa makanisa ya kiroho anavompoint mmoja wa waumini wakati wa ibada kuanza kumfunulia mambo yake na hata kumwambia names za wabaya wake etc.. Je haya mambo huya yanaukweli au watu wale wanakuwa wameandaliwa? Katika ibada za namna hiyo utamtambuaje Nabii wa uongo?
 
Tuwasubiri wapo humu akina mzee wa Upako watakuja kutupatia majibu.
 
Wanaandaliwa kwa nia ya kuaminisha wengine kwamba ni kweli nabii/mtume ana upako na maono ya kweli
 
Back
Top Bottom