Watz wengi wanashindwa kujua kwamba vitu vyote vizuri vinahitaji garama! Na kuna watu wanagaramia, hawa wasanii wanapoenda stejini na kuona mass imehudhuria na stage inapendeza hawafikirii kwamba haikuwa rahisi kufanikisha hayo, na kudhani pesa yote inayopatikana kwenye shoo iwe ya kwao! Never, it's not like that. Huyo 20 hapo ndio mwisho wake, amini msiamini!