Rekodi inaonyesha ya kwamba Manchester United wameshakuwa wakibebwa sana na marefa kwenye viwanja mbali mbali hapo Uingereza na sasa wabebwe tena na tuone...........!
Hapa leo sitabanduka kupitia mtandao wa Super Sport pekee na nitaleta hapa jamvini moja kwa moja kwa jinsi ninavyoiona!!!
Copy kwa: Mungi kibanga Ampiga Mkoloni Filipo; rafiki yangu mkubwa na mshabiki wa Man United
Na wengine wote mnaotuunga mkono washabiki wa LiverpoolFC
Mziki wa liver unajulikana kwa man u hata kama tukicheza bila refa bado hawa kwetu ni wateja wa kudumu tu na kulio kufungwa na manu ni bora kufungwa na azam lakini siyo hawa (Permanent customer)
Mziki wa liver unajulikana kwa man u hata kama tukicheza bila refa bado hawa kwetu ni wateja wa kudumu tu na kulio kufungwa na manu ni bora kufungwa na azam lakini siyo hawa (Permanent customer)