F fazalazakata Member Sep 10, 2011 72 5 Sep 17, 2011 #1 jaman nahitaji maoni yenu kuhusiana na mech hiyo jpili......
Bigirita Platinum Member Feb 12, 2007 15,986 7,367 Sep 17, 2011 #3 Aseee! Unataka maoni uyapeleke wapi? We jipange uangalie game bana!
sulphadoxine JF-Expert Member Nov 1, 2010 2,257 645 Sep 17, 2011 #4 Game ipo wazi man.u itashinda goli 3 kwa 1.
F fazalazakata Member Sep 10, 2011 72 5 Sep 17, 2011 Thread starter #5 ahsanten jaman mm nadhan itakuwa draw
Kweli JF-Expert Member Jul 14, 2007 1,152 302 Sep 17, 2011 #6 Nahisi mabao yatakuwa sio chini ya 4, ni 2-2 ama ushindi wa 3-2 kwa ManU ama 2-3 atashinda Chelsea. Chelsea wako makini katika kudifendi ila set pieces zinawasumbua na Utd wako vulnerable katika difensi yao hasa kipa wao No1.
Nahisi mabao yatakuwa sio chini ya 4, ni 2-2 ama ushindi wa 3-2 kwa ManU ama 2-3 atashinda Chelsea. Chelsea wako makini katika kudifendi ila set pieces zinawasumbua na Utd wako vulnerable katika difensi yao hasa kipa wao No1.
VUVUZELA JF-Expert Member Jun 19, 2010 3,103 786 Sep 17, 2011 #7 Shkamoo jazz aka Chelski hamna kitu siku hizi. ManU 8-Chelski 2 Dozi ya Arsenal kama kazi
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,642 Sep 17, 2011 #8 man u 8 chelsea 2......................kama tulivowafanya arsenal
Bantugbro JF-Expert Member Feb 22, 2009 4,476 4,250 Sep 18, 2011 #9 mikatabafeki said: man u 8 chelsea 2......................kama tulivowafanya arsenal Click to expand... Angalia macho, midomo, na masikio yake....
mikatabafeki said: man u 8 chelsea 2......................kama tulivowafanya arsenal Click to expand... Angalia macho, midomo, na masikio yake....
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,505 86,054 Sep 18, 2011 #12 Huyu mchina startimes kumbe haonyeshi bhana, mtupe updates wajameni
figganigga JF-Expert Member Oct 17, 2010 25,492 54,895 Sep 18, 2011 #13 mpira ushaanza.dk2 man wamekoswakoswa
figganigga JF-Expert Member Oct 17, 2010 25,492 54,895 Sep 18, 2011 #15 man wamepata goli la kwanza...man1 ch 0
Greater thinker JF-Expert Member Sep 12, 2011 286 38 Sep 18, 2011 #16 figganigga said: man wamepata goli la kwanza...man1 ch 0 Click to expand... <br /> <br /> wanachezea nyng tu hawa
figganigga said: man wamepata goli la kwanza...man1 ch 0 Click to expand... <br /> <br /> wanachezea nyng tu hawa
figganigga JF-Expert Member Oct 17, 2010 25,492 54,895 Sep 18, 2011 #20 siwapi update tena.timu yangu imefungwa.hivi sasa naangalia zangu movie "THE LOCK" karibuni sana.mia