Man Utd mkombozi pekee..

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Baada ya vilaza wa Arsenal na makuli wa Man City kutolewa kwenye UEFA champions league,wakombozi pekee waliobakia ni Manchester United ambao ndio wataingia hatua ya robo fainali kuwakilisha Uingereza.

Chelsea nawapa 50-50 ila moyo wote kwa mashetani wekundu,deficit ya magoli mawili itakuwa ndio chachu ya kuwapiga goli 4 kwa moja pale OT na kuwasukumiza nje ya mashindano mabaharia wa ugiriki Olympiacos.

Anayebisha na ajitokeze hadharani
 
Naunga mkono hoja mkubwa,ila kwa swala la Chelsea nawapa asilimia 100 kufuzu.
 
Nabisha kwani timu tepetepe kama man u haiwez wika mbele ya majogoo olimpiacos,lazima waolewe! English teams zote out
 
Old Toilet (OT) kunanuka sana siku hizi!

Labda mkitaka kushinda idadi hiyo ya magoli muombe mtumie viwanja vingine nje ya OT,

Mkikaidi mkacheza hapo OT matokeo yatakuwa hivi,
Manyau Utd 2 vs 1 Olympiacos!

Then jibu unalo ww mwenyewe!
 
karibu siku hiyo vibanda umiza uje ushangilie pamoja nasi
 
Nakapanya;
karibu siku hiyo vibanda umiza uje ushangilie pamoja nasi

Nitapoteza hela bure bora niangalizie hom,

Kushinda mnaweza kushinda ila kutolewa kupo pale pale!
 
leo ndio leo,mashetani wekundu tunaenda kuwaumiza mabaharia wa kigiriki,wadau kaeni mkao wa kula
 
Lengo sasa ni CL trophy,hatujali tunacheza na nani,ni kichapo kwenda mbele,premier tunaawachia malimbukeni wa makombe.
 
leo ndio leo,mashetani wekundu tunaenda kuwaumiza mabaharia wa kigiriki,wadau kaeni mkao wa kula

Yametimia Mkuu Nakapanya yale uliyonena sasa tupe tena mtazamo wako huko iendako Man U
:A S 465:
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…