jerry monny
Member
- Dec 6, 2010
- 94
- 0
hawajamaa kama utakua umewafuatilia kwa uhakika utagundua ni frimason live,angalia mazingira wanayoshinda na magoli wanayofunga utaamini kunakitu hapo,sio suala la kuacha kulijadili,tena hawa jamaa unapokua unaongoza kwa goli moja au mbili,sikuhiyo baada ya mechi lazima wachezaji wapewe treatment ya uhakika,kwani watakimbizwa hao mpaka wakome.goli zinaingia kiajabu wapinzani wanabaki kuduwaa utazani wamerogwa au wamepumbazwa.hawajamaa kweli noma yaani fulu frimason.
Huu ulimbukeni ulioingia Tanzania siku hizi unatia kichefu chefu, yani kila kitu ambacho watu wanaona kiko nje ya uwezo wao basi kinakuwa associated na Freemason. Ndio maana hatuendelei kabisa.
Kwakweli inatia gadhabu na kuchefua. Watu wamesikia kuna kitu kinaitwa Freemasons ndo ishakuwa tabu tena.
Unashauri vipi mkuu, tuifute thread hii??