Man United gonjwa!!!

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,197
25,517
Yakubali kipigo kingine cha 1-0 toka kwa Newcastle United.Ni bao la dakika ya 61 ya mchezo uliochezwa Old Trafford. Limefungwa na Yohan Cabaye,kiungo mfaransa aliyeitesa vilivyo Man U leo mchezoni. Sasa Man U ni ya tisa ikiwa na alama 22.Yaweza kuwa ya 10 kama Aston Villa itashinda mchezo wake.

Man U ni gonjwa...
 
Mpaka sasa sijajua Arsenalalipoteaje kule Dah
Mkuu bado nakukumbusha, mafua yaliyotukabiri siku ile kwa OZIL,PER MERTESACKER na wengineo ndo yaligeuka ubereko kwa hawa Dinosaurs!
 

usiofu,ubingwa ni wa man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…