PAZIA 3 JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 1,104 Reaction score 1,924 Dec 23, 2018 #1 Ole Solskjer,ameleta furaha kubwa na ari ya ajabu,ushindi wa bao 5 nisalam tosha kwa Jose,kwa walimchoka
Ole Solskjer,ameleta furaha kubwa na ari ya ajabu,ushindi wa bao 5 nisalam tosha kwa Jose,kwa walimchoka
PAZIA 3 JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 1,104 Reaction score 1,924 Dec 23, 2018 Thread starter #2 Mkuu kizzy,hebu tuambie uzoefu wako,una muda gani unajishughurisha hivyo kimataifa?
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,759 Reaction score 47,138 Dec 23, 2018 #3 PAZIA 3 said: Mkuu kizzy,hebu tuambie uzoefu wako,una muda gani unajishughurisha hivyo kimataifa? Click to expand... Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe
PAZIA 3 said: Mkuu kizzy,hebu tuambie uzoefu wako,una muda gani unajishughurisha hivyo kimataifa? Click to expand... Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,307 Reaction score 40,941 Dec 23, 2018 #4 PAZIA 3 said: Ole Solskjer,ameleta furaha kubwa na ari ya ajabu,ushindi wa bao 5 nisalam tosha kwa Jose,kwa walimchoka Click to expand... Mkuu tumia logic ndogo tu,hiyo Cardiff city imeonyesha upinzani gani msimu huu? Baadaye msimkatae ole
PAZIA 3 said: Ole Solskjer,ameleta furaha kubwa na ari ya ajabu,ushindi wa bao 5 nisalam tosha kwa Jose,kwa walimchoka Click to expand... Mkuu tumia logic ndogo tu,hiyo Cardiff city imeonyesha upinzani gani msimu huu? Baadaye msimkatae ole
M mugosha JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 938 Reaction score 568 Dec 23, 2018 #5 Ndumbula Ndema said: Mkuu tumia logic ndogo tu,hiyo Cardiff city imeonyesha upinzani gani msimu huu? Baadaye msimkatae ole Click to expand... Hakiyani hata Liverpool wana bahati. Tungecheza nao jana tukiwa chini ya Ole nadhani tungewapiga nyingi. Bahati yao sana na wamshukuru Mungu wao.
Ndumbula Ndema said: Mkuu tumia logic ndogo tu,hiyo Cardiff city imeonyesha upinzani gani msimu huu? Baadaye msimkatae ole Click to expand... Hakiyani hata Liverpool wana bahati. Tungecheza nao jana tukiwa chini ya Ole nadhani tungewapiga nyingi. Bahati yao sana na wamshukuru Mungu wao.