Nimepewa ultmatum na ndugu zangu nitafute mke. Kwa vile shughuli za kiofisi zinanikeep locked nimeona njia rahisi by hooks and crooks ni kumnasa Lara 1 au Charming lady. Maisha ya sasa hayahitaji mtoto 'decent', Mnaweza lala njaa! Angalau mtoto awe mcharuko flan a.k.a mchakarikaji.
Sio unaoa mwanamke ambaye hata hawezi kuingiza namba za luku kwenye mita mpaka wewe uje uweke alafu unasema umepata mke mwema! Sasa wadau atakayefanikisha zoezi la kumnasa 'kibibi' mmoja wapo (coz I believe they are above 30), atapata zawadi nono! Mimi nadhani nikimnasa kibibi hakuna ubaya, hapo mamiss wote hawataniona mbaya.