Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Mwanamke ni sawa na mpiga kura tu! Anao uwezo wa kumkubali mpiga sera yeyote na kumpa moyo wake irespective ya appearance yake. Ingekuwa hivyo kuna wagombea wengine wasingepata uongozi. Mfano Mgabe au Waseera!Mbona hujiulizi kama wao watakupenda? Regardless una pesa au huna.
Hii shughuli unayoivamia inabidi ujipange
Nimepewa ultmatum na ndugu zangu nitafute mke... Kwa vile shughuli za kiofisi zinanikeep locked nimeona njia rahisi by hooks and crooks ni kumnasa Lara 1 au Charming lady. Maisha ya sasa hayahitaji mtoto 'decent', Mnaweza lala njaa! Angalau mtoto awe mcharuko flan a.k.a mchakarikaji. Sio unaoa mwanamke ambaye hata hawezi kuingiza namba za luku kwenye mita mpaka wewe uje uweke alafu unasema umepata mke mwema!
Sasa wadau atakayefanikisha zoezi la kumnasa 'kibibi' mmoja wapo (coz I believe they are above 30), atapata zawadi nono! Me nadhani nikimnasa kibibi hakuna ubaya, hapo mamiss wote hawataniona mbaya!
Wewe unatia kinyaa, jina lipo kwenye heading bado unakosea kuliandika.
Unajidhihirisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.
We bibi mkorofi sana
kumwambia mtoto wa mwanamke mwenzio kuwa kasomea ujinga na anatia kinyaa sio ukorofi huo?
Mmmmmmmmh! Interesting! I might (MIGHT IS NOT EQUAL TO NOT) not be 30, but my mind can qualify a 40 years old! But since i dont enjoy di.ck competition how about i let charming lady have you. She can consider it a PRO BONO WIN!