super nova JF-Expert Member Joined Aug 12, 2014 Posts 1,478 Reaction score 1,099 Dec 18, 2016 #1 mzee wa hainaga ushenela kaanza kutoboa kwa akina sunjay...duh!! ila wahindi watauelewa kweli huo mziki.... Dj Mido at TSN Bamaga
mzee wa hainaga ushenela kaanza kutoboa kwa akina sunjay...duh!! ila wahindi watauelewa kweli huo mziki.... Dj Mido at TSN Bamaga
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,879 Reaction score 14,834 Dec 18, 2016 #2 Duu dogo anatoboa!,kila la Kher kwake.
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,080 Reaction score 10,436 Dec 18, 2016 #3 super nova said: mzee wa hainaga ushenela kaanza kutoboa kwa akina sunjay...duh!! ila wahindi watauelewa kweli huo mziki.... Dj Mido at TSN Bamaga Click to expand... Dah...hawa hawa dada zetu ndiyo atawajaza.... mbona kuna night clubs zinapiga bongo fleva mwanzo mwisho...Na ina lipa.... .[emoji13] [emoji13]
super nova said: mzee wa hainaga ushenela kaanza kutoboa kwa akina sunjay...duh!! ila wahindi watauelewa kweli huo mziki.... Dj Mido at TSN Bamaga Click to expand... Dah...hawa hawa dada zetu ndiyo atawajaza.... mbona kuna night clubs zinapiga bongo fleva mwanzo mwisho...Na ina lipa.... .[emoji13] [emoji13]