Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Mi mziki wa singeli siupendi kwa kweli.
Duh hongera zake jaman,Gk kamaliza shule mwaka jana mzumbe,master ya human resource, kimya chake haikuwa bure
Kichwa anacho yule sio kinyonge kama sungura tope wanavyodhaniaDuh hongera zake jaman,