Sawa ndugu lakini kaa ujue kuwa "mpira unadunda". Mechi bado nyingi sana, ligi inaishia mwezi 5. Man City akipoteza mechi 3 na kutoa draw 3 tu habari yake imekwisha. Tuombe uzima, mwezi 5 TUKUTANE kwenye uzi huu.

Man City amemwacha mshindi wa pili kwa point 13. na akimfunga huyo mshindi wa pili itakuwa amemuacha kwa point 16.
sasa twende kewnye mahesabu yako ya kufungwa mechi 3 na droo tatu. man city akifungwa mechi na kudroo mechi 3, atakuwa amepoteza point 15. atakuwa juu bado kwa point moja boss. Mimi nakubali ndio anaweza akapoteza mechi hata hizo ulizoweka. Sisi hatujakataa kwamba hatapoteza mechi, ila na sisi tunakuomba ukubali kuwa Man city atakuchapa wewe Man United. Au Mau united atashinda mechi zote duru la pili?
Ulivyoandika kuwa akifungwa mechi 3 na kudroo mechi tatu ndo habari yake imeisha maana yake umeipa nafasi Man U. kwa mahesabu yako haya maana yake Man U atashinda mechi zote. Sasa nakuhabarisha kuwa man U hachomoi kwa hawa hapa
Man United hachomoi kwa hizi team round ya pili, Achilia mbali Man City.
1. Chelsea,
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Hotspur
Mimi ni Man City ila hizo timu hapo juu ni presha kwangu. Hata Man U ni presha kwangu ila kwa stail ya kupaki basi kama walivyofanya hainipi presha.
Hello wakuu kwema kwanza nikiri kuwa hawa jamaa Man city kwa sasa wapo vizuri ila kwa uzoefu wangu kama mchambuzi nawaona wakianza kuangusha point very soon hazitapita mechi 3 bila wao kupotea either kwa kufungwa au kudraw mark my words