Man City ataongoza kwa muda, raundi ya pili kuanzia January ataanza kupoteza mechi. Ubingwa utakuwa wa CHELSEA.. mark my words. Mwezi wa tano wakati CHELSEA anabeba kombe mtakumbuka maneno yangu. Tena watapishana na Man City kwa "point" moja au mbili.