sio mbaya mpaka sasa nimeamini chama langu city linauwezo wakuitoa barca kwao kama tu hatutakuwa na red card.
nafikiri umemuonaNeymar hayupo mkuu
Mkuu ndetichia pole.
Jipangeni ugenini mkuu.
Kwahiyo red card ndio chanzo cha kufungwa? Mbona hamkuwafunga kabla ya hiyo red card?
sio mbaya mpaka sasa nimeamini chama langu city linauwezo wakuitoa barca kwao kama tu hatutakuwa na red card.
Hakuna kitu km hicho! Pole sn Mkuu umeshatolewa!
Hii ligi ya UCL nyie hamuiwezi!
Angalia na upande wa pili ... mbona na wao (Barca) hawakufunga kabla ya red card? red card ndio chanzo cha kufunga?
mbona mtaikataa barca second leg..kweli umeamua kumtusi mwenzio, Yaani City wajipange kule Camp Nou, thubutuuuuuuuuuuuuu!!!!!