Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,390
Nipo hapa nashuhudia wakitoa kipigo cha mwizi kwa Totenham Spurs cha goli 4. Daaah, hawa jamaa msimu huu aisee, wananikumbusha Arsenal ya msimu wa 2004/2005.
Wana roho nzuriGoli lenyew la Tott kama wamewapa tu
Acha tu....EPL kuna ligi mbili....ya Man city na yakugombea top 3.
Mkuu kabisa Guardiola habari nyingineLigi imeshaisha
morinyo lazma amkimbie Guardiola