Mamtu mengine bwanaa! Sijui ni vituko! Ama nini ! Mimi sina jibu sahihi . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamtu mengine bwanaa! Sijui ni vituko! Ama nini ! Mimi sina jibu sahihi .

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Aug 27, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kuna msemo maarufu sana, kutoka kwa waliotutangulia usemao "Tembea/Kua uyaone"
  Machache niliyopata kuyaona na yakiniacha, aidha na majibu kibwena (mengi) kuliko swali husika, ni labda nitoe matukio mawili.

  Mf. Majuzi nimepishana na Mkaka mmoja , simfahamu nae hanifahamu.
  Mkaka huyu alikua akijaribu kuutoa Ulimi wake nje ya mdomo , huku akijaribu kuuangalia mwenyewe kwa macho yake!
  Kwa namna macho yake yalivyokua yakionekana kiasi ilinitisha.
  Nikalazimika nimuulize "bro una tatizo gani ? "
  Akanijibu
  "Eebwana nna kiupele sijui kidonda kwenye huu Ulimi , ndo nataka nipaone"
  Nikamwambia
  "Sasa Mkuu si utafute kioo? Itawezekana kweli uuone ulimi wako kwa style hiyo? "

  Kisa mkasa cha huyu Mkaka ni kwamba hivi Jibaba la takriban 45 still yet halijajua kuona ulimi kwa style ile ni quite impossible?
  Mijitu mingine bwanaa !

  Mf. Wa pili kuna siku nilikua kwenye sherehe ya harusi , wakati holini pamechanganya mirindimo ya muziki na mikelele ya walevi, nikamuona M'baba akikojoa kwenye chupa ya bia ! Kisa mkasa cha huyu kilichoniachia quiz alikua akijaribu dushe lake eti lipenye kwenye mdomo wa chupa because alikua kila aki'dischurge urine unaenda pembeni ya chupa! View iliyokua ikijionesha pale ni kama mtu achukue Tango na kujaribu kuliingiza kwenye chupa ya Soda !
  Mijitu mingine bwanaa!

  Mdau unaesoma hapa kivyovyote nawe hukosi visa vya ajabu ajabu realeted matter! Hebu nishushie mie nii'enjoy !
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mie najaribu kupenyeza tango tangoni.
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hahaha hii mikasa noma

   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Shkamoo!
   
 5. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani!! duniani kuna mambo
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Usiku tukiwa bwenini tume lala, mida ya saa 8 usiku tulistushwa na kishindo mithili ya tetemeko ya ardhi ndani ya bweni baada ya kuamka tukiwa tumejawa na hofu kubwa huku umeme umekatika, baada ya kuamka uku wengine wakiwa wamesha kimbia nje wakiwa na boxer tu,tuligundua kuna mtu kaanguka kutoka juu ya deka(alikuwa best yangu) ilibidi kuanza kumuangali huku roho zikienda mbio kwa uwoga wa hali ya juu.

  Baada ya kumuangalia na kuanza kumgusa tu alichomoka pale chini misili ya mshale na kukimbia nje, kazi ilikuwa kwetu tuliyo baki ndani watu kama 60 kwa hiyo tulianza kugombea mlango ambao ulikuwa mmoja huku tukikanyagana kutoka nje, cha kushangaza na pale nje wote walikimbia kuelekea kwenye uwanja ikawa kurupusha huku tukiwa na boxer wote tulizani kuna mzimu.


  Cha kushangaza baada ya kumhoji best huku wengine wakiwa wamevunjika mikono alisema ana tushangaa tunakimbia nini wakati yeye alikuwa ana tania!


  Wote tuliishiwa nguvu na wengine wakitaka kumpiga kwa kuwa dharirisha na shule ilikuwa mchanganyiko wanaume tuko na boxer tu!


  Cha kusikitisha baada ya kutaka kufukuzwa shule jamaa yangu aligundulika amechanganyikiwa na akafikia kufungwa kamba kwa hiyo hakufanya mtihani akapelekwa hospitali.
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kisa mkasa, ya tukio hili mtu mmoja anaweza kufanya watu 100 mkaonekana machizi .
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  We acha tu, hili tukio sito lisahau maana kwa kweli watu walitoka kwenye mabweni kutushuhudia na hakukuwa na pakujificha, wengine wanacheka wengine wanatuonea huruma!
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  One day niko nimesimama kwenye mtaa wa maduka mengi.
  Hapo palikua na duka lenye vioo vya tinted , huoni vitu vya ndani, bali unajiona wewe utazamae.
  Mara kikapita kijibinti around 12-13 yrs hivi .
  Kikasimama kikafungua khanga yake aliyokua amejifunga kiunoni, kisha kikaifunga tena na alipokwishaifunga akavipiva vile vioo mgongo na kugeuza shingo kujiangalia makalio!
  Alipojiridhisha akasepa zake!
  21 century !
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hahaha
  wadada wanafanya sana!
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mijitu mingine bwana, inaanzisha maadamano, wengine wanapigwa risasi wanakufa, yenyewe bado yanabaki hai tu! Mi nna ham na hao waanzisha maandamano nao wafumuliwe na risasi!!
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sorry wrtin err , hapo kwenye "neno MTATA" pasomeke "MTAA"
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Duuhh !
  Si ungeanzia kwenye maji ya kuwasha kwanza! Kabla hujafika kwenye fire weapons !
   
 14. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  hii ndo kiboko ya zote nimejikuta nacheka mpaka machozi yametoka
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  don worry! Understood
   
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Mawazo yako yooote yapo kwenye lile gari lako TATA,
  haya bhana.
   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  We si ushaaga wenda kulala ? Nini tena !
  Mmbu ?
  Au wa sensa wamewagongea mlango ?
   
 18. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  teh teh teh teh,
  Acha tu ndg Jdgmnt,
  Me mwenzio nakaa karibu na Bar basi ni hakuna kulala mwanzo mwenga,
  hyn mikelele,Balaaa!!
   
 19. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ha,ha,ha,ha,ha,ha..teh,teh,te,te,te,kwi,kwi,kwi,kwi,kwi,..uwii baba Beibe nastry leo umenimaliza mbavu jamani dah
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mie najaribu nanasi!
   
Loading...