Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,480
- 5,224
Mimi ni mwajiriwa wa benki moja hapa jijini,
na mwenzangu pia ni benka.
Tulikutana kanisani kwenye ibada za asubuhi,
niko busy nikisakasaka mrembo wa kumuoa.
Mungu nilimuomba anipe bibie atakaye nifaa, na kwenye sakasaka zangu nikakutana na huyu kiumbe.
Tunafanana kila kitu, tabia zetu zote, ila mwenzangu ana hasira sana ambapo muda wote anakuwa amekasirika,
hata ukiongea kidogo anakuja juu sana.
Kwa umri yeye kanizidi miaka mitano,
na kuna siku tulikuwa tunacheza mchezo wa juma na roza,
akasema ninamduu vizuri sana ndio maana ni mimi tu ninayemfyeketua bila kinga.
Nikaogopa sana, yaani kiasi kwamba namuona kama ukoma.
Kila dakika ananipigia simu kuniambia kuwa ananipenda lakini hamu naye imekatika.
Namshukuru mungu nimeligundua hilo kabla hatujaingia huko kunakoitwa ndoani...
Mi napiga mtu chini na ninaendelea kutafuta mtu mwingine.
Ukisikia tangazo hili umjulishe na mwenzio kuwa natafuta wa maisha.

mmmmh atakubali? na banker mwenzie akiliona tangazo hilo vagi ataliweza?[/SIZE][/B]
nitakuwekea ktk TV kile kipindi cha BANGO TBC1 tutumie picha kabisa
ukisikia tangazo hili umjulishe na mwenzio kuwa natafuta wa maisha.
taratibu mtumishi wa mungu.alikukomesha, alikulinganisha vizuri sana, hapo ndo mtakoma kuwa malaya na kufanya uzinzi bila kuoa. alikulinganisha na wazinzi wenzio ambao hatumii condom, wewe tu ndo anatumia kondom, kumbe anao wengi, yaani wewe ni mmojawao tu, pole sana kwa kula makapi, na bado.
vumilia tu jibaba. tena kuna wengine wana hasira mbaya sana, wakikasirika hata msuwaki hawataki kupiga.Mimi ni mwajiriwa wa benki moja hapa jijini,
na mwenzangu pia ni benka.
Tulikutana kanisani kwenye ibada za asubuhi,
niko busy nikisakasaka mrembo wa kumuoa.
Mungu nilimuomba anipe bibie atakaye nifaa, na kwenye sakasaka zangu nikakutana na huyu kiumbe.
Tunafanana kila kitu, tabia zetu zote, ila mwenzangu ana hasira sana ambapo muda wote anakuwa amekasirika,
hata ukiongea kidogo anakuja juu sana.
Kwa umri yeye kanizidi miaka mitano,
na kuna siku tulikuwa tunacheza mchezo wa juma na roza,
akasema ninamduu vizuri sana ndio maana ni mimi tu ninayemfyeketua bila kinga.
Nikaogopa sana, yaani kiasi kwamba namuona kama ukoma.
Kila dakika ananipigia simu kuniambia kuwa ananipenda lakini hamu naye imekatika.
Namshukuru mungu nimeligundua hilo kabla hatujaingia huko kunakoitwa ndoani...
Mi napiga mtu chini na ninaendelea kutafuta mtu mwingine.
Ukisikia tangazo hili umjulishe na mwenzio kuwa natafuta wa maisha.
vumilia tu jibaba. tena kuna wengine wana hasira mbaya sana, wakikasirika hata msuwaki hawataki kupiga.