Wakuu jamvini,
Naomba kuuliza,
1) Madaraka ya Tanroads yamegawanyika kimikoa au kanda (zones), nikitaka kujua mikoa kadhaa inaungana kufanya kanda/zone au kila mkoa unajitegemea?
2)Mfano Nyakasanza (Benaco) kwenye junction ya B182 kuelekea Karagwe na B3 kuelekea Rusumo barabara imepanuliwa na wenye viwanja watalipwa fidia na TANROADS. Je wanafuatilia fidia hiyo Bukoba (mkoani) au mahali pengine nje ya mkoa wa Kagera -
Natanguliza shukrani.