Hongera , msikae kimya sana!Haya sasa wadau... katika mbio hizi za kiuchumi wazalendo wenzangu.... TRA yaweka wazi makusanyo kwa kipindi cha miezi tisa 2016/2017. na kwa mwezi march 2017 makusanyo yameongezeka.... attachement below...
View attachment 491047
Basi wewe utakua ni "mpiga dili"...chaaaa...!!! C unajua nyingi ni faini za traffic..Mbona huku mtaani maisha ni magumu.... Biashara zimekua hazitoki
Hukutegemea na wala hupendi kusikia haya...Unafupisha maisha kwakupenda vitu negative vyenye kuleta sonona katika maisha...Furahia mafanikio ya wenzako!Wao ndio wakusanyaji na wao ndio watangazaji na hakuna anaewahakiki.
Hii ya asilimia 34% wengi wenu naona hamjaielewa,kwa asilimia kubwa development budget ilikuwa planned to be financed na mikopo ambayo mingi haikumaterializeKama ndiyo hivyo mbona bajeti imetekelezwa Kwa 34%tu. Hatutaki utani na takwimu. Jakaya alikusanya chini ya hapo ila kila kitu kilikuwa katika mstari.
Hata aibu huoni?Kama ndiyo hivyo mbona bajeti imetekelezwa Kwa 34%tu. Hatutaki utani na takwimu. Jakaya alikusanya chini ya hapo ila kila kitu kilikuwa katika mstari.