Buhamila
Senior Member
- Feb 5, 2012
- 160
- 82
KWa wakazi wa mwanza mnaweza kuwa mashahidi bill ya maji ya July 2019 imeongezeka mara dufu. Nimeenda kuulizia kituo cha buzuruga nimeambiwa bei per m3 imeongezeka kutoka 700 hadi 1225! Karibu mara 2 ya bei ya zamani
Kuweni na huruma jamani mkumbuke mshahara haujaongezeka hata cent 5
Kuweni na huruma jamani mkumbuke mshahara haujaongezeka hata cent 5