Mamlaka ya maji-arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamlaka ya maji-arusha.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kubingwa, Nov 2, 2011.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi habari za asubuhi? Kwa masikitiko makubwa,leo ni siku ya 4 wananchi wanaoishi maeneoya mianzini jirani na idara ya maji ya Arusha,hakuna maji safi na salama (MAJI YAMEKATWA).Wananchi wanachota maji yanayotiririka miferejini kwa ajili ya matumizi ya majumbani.Cha kusikitisha hadi leo hii mamlaka ya maji mjini humu haijatoa tamko wala taarifa kwa wananchi kuwa hii shida inasababishwa nini.
  Wana jf,yaani maisha yameanza kuwa magumu hata akiba ya maji tuliyojiwekea imeanza kuisha.
  NAOMBA KUWASILISHA!
   
Loading...