Kama ilivyo kawaida, Mamlaka ya Hali ya Hewa wamekuwa wakituhabarisha hali ya hewa ilivyo na itakavyokuwa kwa siku zijazo lakini kwa siku za karibuni taarifa hiyo haitolewi na sisi wananchi kuwa na wasiwasi hasa ukizingatia ukame ulivyo katika maeneo mengi ya nchi yetu.
Katika miezi ya Machi na kuendelea mpaka Mei huwa kuna mvua ya masika. Tunaomba tufahamishwe hasa na Mkurugenzi Mkuu Dr.
Kijazi kuwa mwaka huu kutakuwa na mvua ya masika ili tufanye maandalizi ya mashamba yetu angalau hata kupanda mazao yanayostahimili ukame.