Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,533
- 1,936
Me nazani hayo malori ya azam wala yasilaumiwe kwasababu yamefuata wanachofanya wenzio, hiyo bara bara ya mandela ukitokea ubungo kuanzia pale mwananchi yale magari makubwa ya makontena huwa yanapaki barabarani kila siku tunatumia single road na wakat mwingine husababisha foleni kubwa lakini serikali iko kimya tu
mrsleo,usisumbuke na hii nchi,ujue suala bakharesa ni dogo sana maana ni kero ya muda, ila kunakero kwa wakazi kama wa gar ni aibu kubwa,mfano UDA ndo pekee wanaruhusiwa kuingia mjin kwa maana ya posta.ukitazama hakuna mantiki kabisaa,ile root ya kutoka airport ni mgogoro mkubwa, watu wameongeza matumizi yasiyo ya lazima.
ila kunasiku wananchi watafikia mwisho ukimya, huu unyanyasaji utakwisha.