Mamlaka husika mnamuogopa Bakhressa?

Mamlaka husika mnamuogopa Bakhressa?

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
61,429
Reaction score
108,577
Hapa Tazara junction ya Nyerere Road na Mandela Road kuna foleni si ya kawaida kisa matruck ya kampuni ya Azam yamepaki barabari kusubili kuingia kwenye compound yao na madreva wamezima kabisa gari zao na ziko nying tu, kwa sasa inabidi barabara itumike single lane badara ya two ways.

Sasa swali langu ni kwa nini watu wengine wakipaki gari zao wrng parking wale wakala wenye jukumu hilo huzipiga faini ya shilling laki 3 au kuzipeleka kwenye yard yao relini mwananchi lakin hawa Azzam hawaguswi? kitu gani kinaendelea hapa?
 
Ni kweli kabisa anaweza kuwaajiri wote kuanzia na Kova na kuwalipa mshahara mara tatu ya wanaopata serikalini, ukizingatia wapo mwisho mwisho wa ajira wanasubiri kustaafu na ajira ni ngumu sana Tanzania sasa hivi, ukizingatia pia Mzee Mzima amenunua shea huko. Wanachotakiwa kufanya ni kwenda kuwaomba waondoe magari kiustaarabu tuu.
 
Hapa Tazara junction ya Nyerere Road na Mandela Road kuna foleni si ya kawaida kisa matruck ya kampuni ya Azam yamepaki barabari kusubili kuingia kwenye compound yao na madreva wamezima kabisa gari zao na ziko nying tu, kwa sasa inabidi barabara itumike single lane badara ya two ways.

Sasa swali langu ni kwa nini watu wengine wakipaki gari zao wrng parking wale wakala wenye jukumu hilo huzipiga faini ya shilling laki 3 au kuzipeleka kwenye yard yao relini mwananchi lakin hawa Azzam hawaguswi? kitu gani kinaendelea hapa?

Hata wale machinga wanaouza ashikirimu za Azam sijuwi hawawaoni?
 
Kweli kabisa serikali ya bongo inafagilia ingawa bakhresa ni mwekezaji mkubwa nchini na ni chanzo cha ajira kwa vijana wengi lakini tuangalie na kero wanazopata wananchi walio wengi, hata kama wao ndio wameshika kwenye mpini
 
Ubepari ni UNYAMA

kweli kabisa mkuu, juzi jamaa yangu aliharibikiwa na suzuki carry akaweka triangle reflector akawasha harzad lakini kirikuu yake waliibeba na break down na faini laki tatu kalipa, kwa nini magari makubwa ya Azzam hayaguswi? tena na kibanda cha traffic kipo hapo hapo jirani na wanaona kila kitu.
 
Cyo iyo Tu hta hpa makutano ya mtaa WA Livingstone na uhuru Ni shida
 
Hio ndio mnaona kero? nNgojea aamue kutolipa kodi mwaka mmoja tu ndio mtajua kero ni nn?
 
Hio ndio mnaona kero? nNgojea aamue kutolipa kodi mwaka mmoja tu ndio mtajua kero ni nn?

Nchi inaendeshwa na kodi za walevi, walevi wote wakiokoka na wengine kuwa swala tano basi nchi inafirisika.
 
Me nazani hayo malori ya azam wala yasilaumiwe kwasababu yamefuata wanachofanya wenzio, hiyo bara bara ya mandela ukitokea ubungo kuanzia pale mwananchi yale magari makubwa ya makontena huwa yanapaki barabarani kila siku tunatumia single road na wakat mwingine husababisha foleni kubwa lakini serikali iko kimya tu
 
Yaaan mpaka inatia hasira jinsi foleni ilivyo kubwa.
 
Hao ndo wenye nchi braza....hata wanasiasa hawabweki mbele yao hao
 
Back
Top Bottom