edgar chacha
Member
- Jan 16, 2014
- 15
- 8
Weka nakala za ushahidi, hatutaki blah blah. You must be a great thinker!
Mh lowasa anakubalika sana Tanzania nzima,mimi nipo chadema licha ya kwamba kuna viongozi wazuri kama dr slaa LAKINI Mh Lowasa ni kiongozi mzuri zaidi na zaidi,KUMBUKA mwanzoni mwa miaka2006 hadi 2007 kasi aliokuwa nayo mh lowasa ya maendeleo leo tungekuwa wapi,.....? jibu ni mbali sana naamini hata mh rais anajua hilo kuwa mh lowasa ni mchapakazi sana,alikuwa akisimama kuongea watu wote kimya jamaa alikuwa ni mtu wa maamzi maguni binafsi sijaona kama lowasa badooooo!