Mamia ya wanachama wa CHADEMA warudisha kadi na magwanda yao

waliokabizi wote sio watanzania bali.niwakimbizi waburundi walio pewa ulaia tanzania
 

Hivi unafurahi kabisa! Amakweli we ndo mmoja wa faida ya ccm ya sera yao ya kuendekeza ujinga na umasikini, ili waendelee kuwatawala. Nakuhurumia my friend.
 
Kama sio jitihada zako mgombea leo ningekunywa nini?
 

Attachments

  • 1442559427168.jpg
    20.5 KB · Views: 271

Ukiona kijana anashabikia sisiyemu ujue kuna mzigo wake
 
Kweli MAGAMBA wanakazi, kwahiyo mmeenda kushona magwanda na kuchapisha kadi! Hii style mbona ilishafeli mwanzo!
 
ni kweli wamerudisha kadi zilizo chakaa na magwanda yalopauka kwa wana ccm maana waantaka kukopi na aina ya nguo km walivokopi logo.
afu wanapewa kadi mpya za cdm na magwanda mapya toka israeli
 
tuangalie mafanikio ya Serikali ya awamu ya nne,ujenzi wa Udom,shule za kata,hospitali za rufaa,madaraja,vivuko,nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…