Manispaa ya ilala ina majimbo ya ilala,ukonga na segerea kwa hiyo madiwani kutoka kata za majimbo hayo pamoja na wabunge ndio wataunda baraza.mwenye madiwani wengi ana nafasi kubwa ya kumtoa meya
Kwa kuongoza majimbo saba madiwani Jiji la DSM litapata Meya wa Upinzani kwa mara ya kwanza, ningekuwepo ningependekeza Diwani wa Ubungo Mh. Boniface Jacob awanie kiti hicho
Kwa kuongoza majimbo saba madiwani Jiji la DSM litapata Meya wa Upinzani kwa mara ya kwanza, ningekuwepo ningependekeza Diwani wa Ubungo Mh. Boniface Jacob awanie kiti hicho
ukawa ...wataunda mameya katika halmashauri ya ilala na kinondoni ..ccm wataunda temeke pekee..meya wa jiji atatoka ukawa ..mani imekula kwake..labda agombee umeya wa temeke
manji akipata tumekwisha, hapo tu ashawauzia matera ya kuzoa taka taka feki, angalau, fedha za ddc na uda zinarudi, safari za kuanzia fery to kariakoo zitarudi.