Mamelodi waahidi Kuishushia Yanga kipigo Kizito ili kujikusanyia point wafuzu klabu bingwa dunia

Wakae kwa kutulia. Mpira unadunda.

Ingekuwa Simba kweli wangepata mseleleko,
Kwa Yanga ni wazi na wanajua shughuli waliyonayo sio ya kitoto.
 
Mamelodi Sundowns wanasema lengo lao sio kufuzu bali kuipiga Yanga 'nje ndani kwa kipigo kizito' ili kukusanya pointi za kujihakikishia kufuzu Klabu Bingwa Duniani.

Masandawana wamedhamiria kuwadhalilisha majini SC
Wamekwambia wapi Mbumbumbu?

Wekeni nguvu kupambana na Mwarabu.
 
Mimi hii match naichukulia kiutofauti na sana, na Yanga kama wana akili waitumie kama motivation kusogea zaidi ya walipofika.

It takes a wolf to catch a wolf, itakuwa kipimo kikubwa sana kwao, kuji analyze, kuangalia wapi panahitaji marekebisho n.k

Ili uwe bora, lazima ucheze na team bora. Mamelodi nayo ni team tu kama team zingine, waiandae tu team vizuri, kujiamini na namna ya kucheza match za mtoano.

Itakuwa game nzuri sana.
 
Mamelodi Sundowns wanasema lengo lao sio kufuzu bali kuipiga Yanga 'nje ndani kwa kipigo kizito' ili kukusanya pointi za kujihakikishia kufuzu Klabu Bingwa Duniani.

Masandawana wamedhamiria kuwadhalilisha majini SC
Wanakusanya points?

Feki nyuuz
 
Mamelodi Sundowns wanasema lengo lao sio kufuzu bali kuipiga Yanga 'nje ndani kwa kipigo kizito' ili kukusanya pointi za kujihakikishia kufuzu Klabu Bingwa Duniani.

Masandawana wamedhamiria kuwadhalilisha majini SC

Mpira haupo hivo

Msije kushangaa tuna wapiga moja hapo taifa; tuNaenda ku draw kwao
 
Back
Top Bottom