Wana jf chukulieni mfano kuwa; Baba kamtimua mama nyumbani then akaleta kakimwana kengine ndani, nawe ni mtoto wa kiume(25...yrs)hako ka mamdogo baba akiwa hayupo kanakutega uingie angazake umri mnaendana hamjaachana sana..UKITENGWA UTATEGEKA?(hata akina dada ambao mama zao ni masugar momy inawahusu hii...kababa mdogo kanakuvizia,je utaruka?)
hahahhaha nmkumbuka shemeji yangu mmoja aliwah kuulizwa hivi wewe fulan kwann huoi akawajibu wazee kwenye kile kikao cha ukoo nitaoa siku nyie wazee wangu mtakapoaacha kuoa.
jana ulipata mgegedo mkuu?
Ha ha ha mzabzab bwana,Hujatupa feedback ya mabinti WA Dodoma!na Mimi nataka nikagegede wiki ijayo
hapana kaka warembo hawakuwepo bana...wowowo nzuri ila sura hazikuendana na uzuri wa wowowo
umejichanganya tu wewe mwenyewe ,,,,,,,,, Dom ni limited wewe!!!!!!!!!!!!:A S 39:
bwana dom watoto wana wowowo ila sura bwana ...lakini niliambiwa nilienda wakati mbaya wanafunzi walikuwa wapo likizo labda next wekk nitie mguu nikacheki bidhaa
vicheche wengi wa CBE huwa hawaendi likizo ,,,, ulishindwa tu kusoma ramani bwana
Wewe miaka 25 nyumbani unasubiria nin hapo?Wana jf chukulieni mfano kuwa; Baba kamtimua mama nyumbani then akaleta kakimwana kengine ndani, nawe ni mtoto wa kiume(25...yrs)hako ka mamdogo baba akiwa hayupo kanakutega uingie angazake umri mnaendana hamjaachana sana..UKITENGWA UTATEGEKA?(hata akina dada ambao mama zao ni masugar momy inawahusu hii...kababa mdogo kanakuvizia,je utaruka?)