Mamdogo akikutaka?

CDO

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
11
Reaction score
1
Wana jf chukulieni mfano kuwa; Baba kamtimua mama nyumbani then akaleta kakimwana kengine ndani, nawe ni mtoto wa kiume(25...yrs)hako ka mamdogo baba akiwa hayupo kanakutega uingie angazake umri mnaendana hamjaachana sana..UKITENGWA UTATEGEKA?(hata akina dada ambao mama zao ni masugar momy inawahusu hii...kababa mdogo kanakuvizia,je utaruka?)
 

Kula bakuli moja na baba ni NOMA sana! Itabidi kukemea hilo pepo.
 
Ni dhambi kushea mwanamke na baba yako hata kama ni mnalingana umri.
 
Umesema kamtimua mama nyumbani, which means baba kaleta hawara ndani.
Sasa baba wa namna hii anapaswa naye afunzwe, huyo kuku wake wa kienyeji anatafunwa hata mifupa haiachwi.
Baba wa namna hii anaweka mfano gani kwa watoto kama sio kuwaeleza kwa vitendo kuwa nao wawe malaya.
 
hahahhaha nmkumbuka shemeji yangu mmoja aliwah kuulizwa hivi wewe fulan kwann huoi akawajibu wazee kwenye kile kikao cha ukoo nitaoa siku nyie wazee wangu mtakapoaacha kuoa.
 
Miaka 25 ondoka kwa babako katafute wa kwako. Ukiamua kutembea na mke wa baba yako ujue maisha yamekushinda. There is no hope for you.
 
kwanza huyo mdingi kayataka...mie namgegeda tuu huyo mama mdogo kwa raha zanguv

Ningeshangaaa mzabzab a.k.a gegedu, kila kijacho kwako we ni kugegeda tu, maswali baadae....
 
Last edited by a moderator:
Miaka 25 ondoka kwa babako katafute wa kwako. Ukiamua kutembea na mke wa baba yako ujue maisha yamekushinda. There is no hope for you.

Angalau wewe umefikiria nje ya kiberiti!
 
Miaka 25 ondoka kwa babako katafute wa kwako. Ukiamua kutembea na mke wa baba yako ujue maisha yamekushinda. There is no hope for you.

Kwa msisitizo kutembea na mke wa mtu yeyote mwingine ni balaa - sembuse mke wa baba yako!
 

thread closed
 
Kifuatacho na wewe utakuwa na mtoto ambaye atamgegeda hawara yako
 
shetani shindwa kwa jina la aliye juu!masema shindwa waachie hawa vijana malijali shindwaaaaaa!!katika jina...
 

hama nyumbani dogo ,25 yrs unafanya nini home kwa baba yako???????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…