Mambo yetu yalee; diet therapy

nyambari

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
355
Reaction score
174


Jamani vipi kama wote tungekuwa tunapata diet kama hii kungekuwa na haja ya kwenda kwa BABU LOLIONDO?
HEBU TUJARIBU
 
Mkuu Nyambari udenda umenitoka mpaka nimeikuza hii picha!
 
mbona wengi wanakamua menu kama hiyo lkn wamefika huko kwa babu mkuu, kule watu ngwengwe ndo inawapeleka mkuu
 
View attachment 33549Jamani vipi kama wote tungekuwa tunapata diet kama hii kungekuwa na haja ya kwenda kwa BABU LOLIONDO? HEBU TUJARIBU
Kwa babu watu wanaenda kujichora tu, hakuna hata mgonjwa mmoja aliwahi kuponea kule. Labda kama alienda kwa kuigiza tu ! Jaribuni kuwa wafuatiliaji wa mambo.
 
Inawezekana siku kauli mbiu ya
maisha bora kwa kila mtz ikitimia
,,,,,,,,,😛ound:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…