mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Habar yenu wadau, kuna hii mada naomba tuweze kuwekana sawa kwa ushauri. Kuna mdogo wangu ambae mara nyingi akiwa amelala anaongea sana usingizini mara nyingi akiwa amelala anapatwa na hii hali ya kuongea sana usingizini
Sasa najiuliza
1. hii hali huwa inasababishwa hasa na nini kibaiolojia?
2.je inaweza kumletea matatizo kiafya?
3.je inaweza kumletea matatizo ya kiimani usiku?
Note: ushauri wenu ni muhim sana
Sasa najiuliza
1. hii hali huwa inasababishwa hasa na nini kibaiolojia?
2.je inaweza kumletea matatizo kiafya?
3.je inaweza kumletea matatizo ya kiimani usiku?
Note: ushauri wenu ni muhim sana