Mkuu...nakupa zote kabisa hapo. Najua mwanawane ukiwa kwenye fani hutaki masikhara.Kama nakuona unavyogeuza mbuyu huo unakuwa mdogooooo kama tembele kudadadeki........Dumisha mila hakuna kuangalia wanasema nini wala nini???
Fanya yote ndugu yangu ila sio kupropose kuachana nae! Maana atahakikisha haupendwi tena na mwanamke mwingine! Labda aamue kukuacha mwenyewe! Ila unakula raha, hata ukiumwa haupati shida, unabebwa mgongoni km katoto kachanga! Hihihiiii.....