Mambo yanayowagusa watanzania kwenye hotuba ya TRUMP

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Raisi wa marekani katika hotuba yake aliyoitoa kuamkia leo kwa saa zetu akihutubia baraza la Congress kuna mambo nimeona yanawagusa watanzania mambo makubwa ni yafuatayo

1.Amesema BUY AMERICAN,HIRE AMERICAN akimaanisha kuwa ajira ni kwa wamarekani na bidhaa watu wanunue za kimarekani au za makampuni ya wamarekani wawe ndani ya marekani au nje ya wamarekani.Hii ina maana kuwa kutakuwa na nafasi finyu mno kwa watanzania kuajiriwa marekani katika utawala wa TRump kwani msisitizo wake utakuwa ni kuajiri wamarekani na nafasi ya kampuni zisizokuwa za kimarekani kuuza bidhaa zao marekani zitakuwa nafasi hizo finyu sana.

2.Kuhusu Biashara ya marekani na nchi zingine.Kasema Kampuni za marekani zikiuza bidhaa nje ya nchi huwa wanachajiwa kodi kubwa sana kwa bidhaa zao sehemu zingine hadi asilimia 100 hutozwa kodi kwa bidhaa zao wakati bidhaa zinazotoka nchi hizo kuingia marekani hutozwa kodi kidogo au hazitozwi kabisa.Amesema hilo hataliruhusu tena atahakikisha na wao wakiingiza bidhaa zao marekani anawakomesha kwenye kodi.Hii ina maana gani ni kuwa kama kuingiza gari la kimarekani Tanzania huwa tunatoza ushuru wa asilimia mia moja tujiandae bidhaa zetu kuraruliwa kodi kwa kiwango hicho hicho zikiingia marekani na kutazifanya bidhaa zetu zisiweze kupenya na kushindana sokoni marekani

3.Amesema atatahakikisha inakuwa rahisi kampuni za marekani kufanya biashara ndani ya marekani na atahakikisha inakuwa vigumu kwa kampuni za marekani kutoka nje ya marekani kuhamisha mitaji na shughuli zao .Maana yake ni kuwa ata encorage uwekezaji wa ndani na ku-discourage uwekezaji nje ya marekani kwa kampuni za kimarekani.Hili lina maana kuwa kutakuwa na upungufu wa wawekezaji wa kimarekani watakaokuja kuwekeza Tanzania

4.Kuhusu UHamiaji amesema anataka wahamiaji wenye uwezo wao wa kipesa wenye pesa zao sio wale wanaotarajiwa kupata pesa za wamarekani.Anataka wenye uwezo tu wa kifedha ndio wapewe kipaumbele .Maana yake ni kuwa watanzania waenda kusaka fursa kule hawana nafasi tena Marekani anataka kutumia utaratibu wa MERIT BASED kama unaotumika canada,austarlia na newzeland

HAYO ni baadhi ya mambo hotuba nzima hii hapa

Raisi wa marekani katika hotuba yake aliyoitoa kuamkia leo kwa saa zetu akihutubia baraza la Congress kuna mambo nimeona yanawagusa watanzania mambo makubwa ni yafuastayo

1.Amesema BUY AMERICAN,HIRE AMERICAN akimaanisha kuwa ajira ni kwa wamarekani na bidhaa watu wanunue za kimarekani au za makampuni ya wamarekani wawe ndani ya marekani au nje ya wamarekani.Hii ina maana kuwa kutakuwa na nafasi finyu mno kwa watanzania kuajiriwa marekani katika utawala wa TRump kwani msisitizo wake utakuwa ni kuajiri wamarekani na nafasi ya kampuni zisizokuwa za kimarekani kuuza bidhaa zao marekani zitakuwa nafasi hizo finyu sana.

2.Kuhusu Biashara ya marekani na nchi zingine.Kasema Kampuni za marekani zikiuza bidhaa nje ya nchi mataifa huwa wanachajiwa kodi kubwa sana kwa bidhaa zao sehemu zingine hadi asilimia 100 hutozwa kodi kwa bidhaa zao wakati bidhaa zinazotoka nchi hizo kuingia marekani hutozwa kodi kidogo au hazitozwi kabisa.Amesema hilo hataliruhusu tena atahakikisha na wao wakiingiza bidhaa zao marekani anawakomesha kwenye kodi.Hii ina maana gani ni kuwa kama kuingiza gari la kimarekani Tanzania huwa tunatoza ushuru wa asilimia mia moja tujiandae bidhaa zetu kuraruliwa kodi kwa kiwango hicho hicho zikiingia marekani na kutazifanya bidhaa zetu zisiweze kupenya na kushindana sokoni marekani

3.Amesema atatahakikisha inakuwa rahisi kampuni za marekani kufanya biashara ndani ya marekani na atahakikisha inakuwa vigumu kwa kampuni za marekani kutoka nje ya marekani kuhamisha mitaji na shughuli zao .Maana yake ni kuwa ata encorage uwekezaji wa ndani na ku-discourage uwekezaji nje ya marekani kwa kampuni za kimarekani.Hili lina maana kuwa kutakuwa na upungufu wa wawekezaji wa kimarekani watakaokuja kuwekeza Tanzania

4.Kuhusu UHamiaji amesema anataka wahamiaji wenye uwezo wao wa kipesa wenye pesa zao sio wale wanaotarajiwa kupata pesa za wamarekani.Anataka wenye uwezo tu wa kifedha ndio wapewe kipaumbele .Maana yake ni kuwa watanzania waenda kusaka fursa kule hawana nafasi tena Marekani anataka kutumia utaratibu wa MERIT BASED kama unaotumika canada,austarlia na newzeland

HAYO ni baadhi ya mambo hotuba nzima hii hapa

Ahsante sana hii inamaanisha mataifa ya dubia ya tatu ikiwamo TZ wasitarajie chochote kutoka USA chini ya DT.
 
Ni upumbavuh mkubwa kama tutakaa hatutengenez ajira tunategemea ajira za USA. Ni utaahira na unyani maana nyani hawalimi ila wanataka wakavune kwenye shamba la binadamu. Binadamu anapozungushia shamba lake kwa michongoma anaonekana mbabe/mbaya. Naunga mkono asilimia 100 sera za Donald Trump. Na nawakumbusha wandendeule kuwa d trump ni rais wa marekan na kwa maslah ya wamarekani

Sisi wenye ukosefu wa akili kichwan tuendelee kuwaneemisha wahind,waarabu na wazungu.
 
Ni upumbavuh mkubwa kama tutakaa hatutengenez ajira tunategemea ajira za USA. Ni utaahira na unyani maana nyani hawalimi ila wanataka wakavune kwenye shamba la binadamu. Binadamu anapozungushia shamba lake kwa michongoma anaonekana mbabe/mbaya. Naunga mkono asilimia 100 sera za Donald Trump. Na nawakumbusha wandendeule kuwa d trump ni rais wa marekan na kwa maslah ya wamarekani

Sisi wenye ukosefu wa akili kichwan tuendelee kuwaneemisha wahind,waarabu na wazungu.
 
Raisi wa marekani katika hotuba yake aliyoitoa kuamkia leo kwa saa zetu akihutubia baraza la Congress kuna mambo nimeona yanawagusa watanzania mambo makubwa ni yafuatayo

1.Amesema BUY AMERICAN,HIRE AMERICAN akimaanisha kuwa ajira ni kwa wamarekani na bidhaa watu wanunue za kimarekani au za makampuni ya wamarekani wawe ndani ya marekani au nje ya wamarekani.Hii ina maana kuwa kutakuwa na nafasi finyu mno kwa watanzania kuajiriwa marekani katika utawala wa TRump kwani msisitizo wake utakuwa ni kuajiri wamarekani na nafasi ya kampuni zisizokuwa za kimarekani kuuza bidhaa zao marekani zitakuwa nafasi hizo finyu sana.

2.Kuhusu Biashara ya marekani na nchi zingine.Kasema Kampuni za marekani zikiuza bidhaa nje ya nchi huwa wanachajiwa kodi kubwa sana kwa bidhaa zao sehemu zingine hadi asilimia 100 hutozwa kodi kwa bidhaa zao wakati bidhaa zinazotoka nchi hizo kuingia marekani hutozwa kodi kidogo au hazitozwi kabisa.Amesema hilo hataliruhusu tena atahakikisha na wao wakiingiza bidhaa zao marekani anawakomesha kwenye kodi.Hii ina maana gani ni kuwa kama kuingiza gari la kimarekani Tanzania huwa tunatoza ushuru wa asilimia mia moja tujiandae bidhaa zetu kuraruliwa kodi kwa kiwango hicho hicho zikiingia marekani na kutazifanya bidhaa zetu zisiweze kupenya na kushindana sokoni marekani

3.Amesema atatahakikisha inakuwa rahisi kampuni za marekani kufanya biashara ndani ya marekani na atahakikisha inakuwa vigumu kwa kampuni za marekani kutoka nje ya marekani kuhamisha mitaji na shughuli zao .Maana yake ni kuwa ata encorage uwekezaji wa ndani na ku-discourage uwekezaji nje ya marekani kwa kampuni za kimarekani.Hili lina maana kuwa kutakuwa na upungufu wa wawekezaji wa kimarekani watakaokuja kuwekeza Tanzania

4.Kuhusu UHamiaji amesema anataka wahamiaji wenye uwezo wao wa kipesa wenye pesa zao sio wale wanaotarajiwa kupata pesa za wamarekani.Anataka wenye uwezo tu wa kifedha ndio wapewe kipaumbele .Maana yake ni kuwa watanzania waenda kusaka fursa kule hawana nafasi tena Marekani anataka kutumia utaratibu wa MERIT BASED kama unaotumika canada,austarlia na newzeland

HAYO ni baadhi ya mambo hotuba nzima hii hapa

wamarekani nao wamefanya kosa kama walilolifanya waTZ nao wataisoma NAMBA
 
Serikari yako imeshindwa kutoa ajira unawazia ajira za watanzania kwa Trump!!
Mwambie rais wako atekeleza hili kwa raia wake.

BUY AMERICAN,HIRE AMERICAN akimaanisha kuwa ajira ni kwa wamarekani na bidhaa watu wanunue za kimarekani au za makampuni ya wamarekani wawe ndani ya marekani au nje ya wamarekani.Hii ina maana kuwa kutakuwa na nafasi finyu mno kwa watanzania kuajiriwa marekani katika utawala wa TRump kwani msisitizo wake utakuwa ni kuajiri wamarekani na nafasi ya kampuni zisizokuwa za kimarekani kuuza bidhaa zao marekani zitakuwa nafasi hizo finyu sana.
 
Kinachotuhusu kwenye hotuba yake ni kitu kimoja tu, nacho ni kukosa pesa ya bure ya msaada.

Tunanunua gari japo 50 za Kimarekani kwa mwaka Tanzania?

Watanzania waliokuwepo Marekani hawafiki hata 200,000 ukilinganisha na 3,000,000 wa Nigeria na 12,000,000 Hispanic!
 
Ni upumbavuh mkubwa kama tutakaa hatutengenez ajira tunategemea ajira za USA. Ni utaahira na unyani maana nyani hawalimi ila wanataka wakavune kwenye shamba la binadamu. Binadamu anapozungushia shamba lake kwa michongoma anaonekana mbabe/mbaya. Naunga mkono asilimia 100 sera za Donald Trump. Na nawakumbusha wandendeule kuwa d trump ni rais wa marekan na kwa maslah ya wamarekani

Sisi wenye ukosefu wa akili kichwan tuendelee kuwaneemisha wahind,waarabu na wazungu.

kutatua tatizo la ajira huangalii ndani ya nchi tu unaangalia na nje ya nchi.Kuna nchi niliambiwa fundi wa kuezeka bati akiezeka bati kumi analipwa dola 4000 sawa na shilingi milioni nane za tanzania!!! huyo ni fundi mmoja.Nchi kama Rwanda inasomesha sana watu wake sio kwa ajili ya soko la ndani kwani nchi ni ndogo na ajira ni chache lakini inawasomesha sana ili waajirike kwenye makampuni ya kimataifa na nje ya nchi.Nchi za Afrika magharibi kama nigeria,ghana na hata hapa kwetu nchi kama Kenya wanasomesha sana watu wao kwa ajili ya soko la ajira sio la ndani bali la nje.Hata kampuni nyingi kenya hutoa scholarship kibao kwa wakenya kwenda kusoma vyuo bora marekani na ulaya kusaidia juhudi za serikali.Faida inayopatikana ni kuwa watu wao wengi wamesambaa nchi mbali mbali duniani na hupeleka nchini kwao mabilioni ya pesa na miradi na bishara kibao ambazo hubadilisha chumi za hizo nchi.Ufumbuzi wa ajira huangalii tu sebuleni kwako nje kunaweza kuwa na mtu anahitaji kibarua wa kumlimia shamba kazi ambayo sebuleni kwako haipo.
 
Tanzania, tunapeleka bidhaa gani u.s?

Tanzania was the United States' 121st largest supplier of goods imports in 2015.

U.S. goods imports from Tanzania totaled $105 million in 2015, up 22% ($19 million) from 2014, and up 211% from 2005.

The top import categories (2-digit HS) in 2015 were: coffee, tea & spice (coffee) ($29 million), knit apparel ($25 million), precious metal and stone (gemstones) ($21 million), special other (returns) ($9 million), and vegetable saps and extracts (pectates) ($6 million).

U.S. imports of agricultural products from Tanzania totaled $42 million in 2015. Leading categories include: coffee, unroasted ($29 million), tree nuts ($4 million), tobacco ($904 thousand), cocoa beans ($722 thousand), and spices ($409 thousand).

source:Tanzania | United States Trade Representative
 
Ni vigumu sana kuyatekeleza hayo aliyoyasema. Kwanza, makampuni mengi ya Kimarekani hasa yale ya teknolojia ya mawasiliano yanategemea sana wataalam kutoka nje ya Marekani. Na ikumbukwe pia kuwa makampuni ya Marekani mfano Apple Inc. yana outsource materials kwa ajili ya kutengeneza iPhone kwa mfano. Katika zama hizi za utandawazi haweza kufanya hayo. Kama atafanya na nchi zingine zikafanya hivyo Marekani haitafika kokote. Mtu kutoka nje anaajiriwa na kampuni za Marekani kwa sababu ya talent na skills alizonazo. Na hiyo strategy ndo iliifanya Marekani kuwa taifa kubwa. Trump hajui tu, lakini huo ndo ukweli.
 
Jamaa huyu wa ajabu
Anaona kama Marekani inaweza kujiendesha yenyewe bila muingiliano wa nje!!
Huyu Rais mbinafsi sana
Anataka Nchi yake iwe kisiwa
 
Back
Top Bottom