mambo yafuatayo yanatufanya tuitwe waswahili??
1. Hupiga simu wakati wa bure au bei nafuu
2. Chumbani kwako umejaza makopo ya shampoo au perfum ambayo hayana kitu ndani.
3. Ulipokuwa mdogo ulinunuliwa nguo kubwa eti ili ukue nazo
4.store yenu imejaa makorokoro mabovu kibao sababu unaamin ipo siku utayatumia
5. Mtaan kwenu una majina ya utan kama vile chausku au pampula n.k
6. Kusoma kwako ni kusolve past paper unaamn maswali yatarudiwa
7. 90% vitu ulivyonavyo ni vya kichina
je wewe upo number ngapi hapo juu?? Jiulize na ujirekebishe.
Mambo yafuatayo yanatufanya tuitwe Waswahili??
1. Hupiga simu wakati wa bure au bei nafuu
2. Chumbani kwako umejaza makopo ya shampoo au perfum ambayo hayana kitu ndani.
3. Ulipokuwa mdogo ulinunuliwa nguo kubwa eti ili ukue nazo
4.Store yenu imejaa makorokoro mabovu kibao sababu unaamin ipo siku utayatumia
5. Mtaan kwenu una majina ya utan kama vile Chausku au pampula n.k
6. Kusoma kwako ni kusolve past paper unaamn maswali yatarudiwa
7. 90% vitu ulivyonavyo ni vya KICHINA
Je wewe upo number ngapi hapo juu?? JIULIZE NA UJIREKEBISHE.